Header Ads Widget

Ticker

6/recent/ticker-posts

EPL: PALACE WAICHAPA WEST HAM NA KUCHOMOKA CHINI


Crystal Palace wametoka chini baada ya kuichapa West Ham bao moja....Palace ambayo ina kocha mpya ilipata goli kutoka kwa Marouane Chamakh. Tony Pulis ambaye ni kocha wao mpya ameisifia timu yake kwa kujitahidi na kujituma....Goli lilikuja kipindi cha kwanza wakati West Ham walikuwa wanashambulia sana....Chamakh alikuwa West Ham kwa mkopo na alimlalamikia kocha wa West Ham kuto mchezesha...Pata habari zaidi hapa...

Yorum Gönder

0 Yorumlar